28/04/2026
Habari za wakati huu followers wangu, nimeona kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wameshamiri katika matumizi ya Akili Bandia (AI) kwa kugeuza miili yao hasusan Wanawake wakivaa nguo za aibu kwa kuonyesha viungo vya miili yao, nawashauri tu muachane na tabia hizo mana huko tunakoelekea kuna anguko.
Mtu anayejiheshimu hawezi kutumia AI kwa kugeuza mwili wake.
🪓 Ukitaka kuheshimiwa, anza kujiheshimu mwenyewe.
Ahsanteni!!!