COEUR du CONGO MOVIE Kamanyola

COEUR du CONGO  MOVIE  Kamanyola Aimé selui qui aime la page

25/04/2026

TUFUNGULIYE BABA A TUTAKI TENA VITA KWETU DRC

 : wakimbizi wakongomani wapewa ruhusa ya kurudi kwao inchini   na safari imeanza hii Siku ya ine (Jeudi) tariki 23/04/2...
23/04/2026

: wakimbizi wakongomani wapewa ruhusa ya kurudi kwao inchini na safari imeanza hii Siku ya ine (Jeudi) tariki 23/04/2026.
wengi wamefurahi saana sababu wamerudi kwao haya namengine ni baada ya kupata mateso na ukosefu kambini.

19/04/2026

Kisa nini kisa tefe

  : UVIRA | WAJIBU WA KUKUMBUKALeo tarehe 17 Aprili, mji wa Uvira unaadhimisha miaka 6 tangu janga la asili la mto Mulon...
17/04/2026

: UVIRA | WAJIBU WA KUKUMBUKA

Leo tarehe 17 Aprili, mji wa Uvira unaadhimisha miaka 6 tangu janga la asili la mto Mulongwe River lililotokea mwaka 2020.

Janga hili bado limebaki kwenye kumbukumbu za wakazi wengi. Mvua kubwa sana zilikuwa zimesababisha mto Mulongwe kufurika, na kupelekea hasara kubwa za maisha ya watu na mali. Familia nyingi ziliathirika, nyumba ziliharibiwa, na mitaa kadhaa ikaingia katika hali ya majonzi makubwa.

Miaka sita baadaye, kumbukumbu bado inaumiza, lakini pia inaleta ujumbe muhimu: ule wa kujikinga, mshikamano na ustahimilivu.

🕊️ Katika siku hii ya kumbukumbu: Tunatoa heshima kwa waliopoteza maisha
Tunatoa pole kwa familia zilizoathirika
Tunapongeza ujasiri wa manusura

👉 Mamlaka pamoja na wananchi wanahimizwa kuimarisha hatua za kujikinga na majanga ya asili, hasa kwa kupanga vizuri mito na kuelimisha jamii.

Follow sasa 👉 Neymar Yanick

07/04/2026

Regarde, suis et découvre encore plus de contenus tendance.

Merci pour votre aide cordialement aide nou à abonné sur notre compte tiktok 👍👍👍👍👍👍👍            nickjmaison
07/04/2026

Merci pour votre aide cordialement aide nou à abonné sur notre compte tiktok 👍👍👍👍👍👍👍

nickjmaison

Joyeuse fête de pacque à nous les chrétiens✝️🙏
05/04/2026

Joyeuse fête de pacque à nous les chrétiens✝️🙏

Pasika Nziza!Joyeuse fête de Pâques !
05/04/2026

Pasika Nziza!
Joyeuse fête de Pâques !

Dans la soirée de ce 4/4, Son Excellence Evariste Ndayishimiye  et sa famille se sont unis en prière avec les Chrétiens ...
05/04/2026

Dans la soirée de ce 4/4, Son Excellence Evariste Ndayishimiye et sa famille se sont unis en prière avec les Chrétiens du monde durant la Vigile pascale, laquelle, marquant le passage des ténèbres à la lumière, inaugure la célébration liturgique de la fête de Pâques; victoire du Christ sur la mort.

  : ‼️🔴 ‼️ -Kivu: Tangu saa 12 asubuhi (06h00), mapigano yameripotiwa kwenye mhimili wa  , katika kijiji cha   (Wilaya y...
05/04/2026

: ‼️🔴 ‼️ -Kivu: Tangu saa 12 asubuhi (06h00), mapigano yameripotiwa kwenye mhimili wa , katika kijiji cha (Wilaya ya , Ukanda wa Luindi).

wameanzisha shambulio la kushtukiza dhidi ya baada ya mauaji ya wachimbaji madini waliyoyafanya katika eneo la migodi ya Wachina.

Kijiji cha Kigogo kimerudishwa mikononi mwa Wazalendo. Waasi wa wamekimbia, lakini wanaendelea kufuatiliwa na Wazalendo.

Follow Sasa 👉 Neymar Yanick

🌍 Habari zetu..MOJA KWA MOJA KUTOKA BUJUMBURA 🇧🇮 / BURUNDI 🔥Zimesikika sauti za silaha nzito katika sehemu ya kusini ya ...
31/03/2026

🌍 Habari zetu..

MOJA KWA MOJA KUTOKA BUJUMBURA 🇧🇮 / BURUNDI 🔥

Zimesikika sauti za silaha nzito katika sehemu ya kusini ya mji wa kibiashara wa Burundi.
Wananchi wako katika hali ya hofu kutokana na hali hii isiyo ya kawaida, ambayo imesababisha watu wengi kuhama kutoka maeneo ya karibu na milipuko hiyo 🔥🔥
Bado tunasubiri taarifa rasmi kutoka kwa serikali ya Gitega ili kufahamu chanzo cha moto huo 🔥🔥

Kwa mengi zaidi,

Neymar Yanick

Adresse

Kamanyola
Bukavu
+243

Téléphone

+243993443283

Site Web

Notifications

Soyez le premier à savoir et laissez-nous vous envoyer un courriel lorsque COEUR du CONGO MOVIE Kamanyola publie des nouvelles et des promotions. Votre adresse e-mail ne sera pas utilisée à d'autres fins, et vous pouvez vous désabonner à tout moment.

Partager