Bongo Mastory

Bongo Mastory Tangaza Biashara Yako Kupitia Page Hii Upewe Promotion Ya kutosha +255747424197

25/06/2025

Diamond Platnumz

25/06/2025

Kimeumana😀🤣

 🇹🇿🇹🇿
04/10/2024

🇹🇿🇹🇿

Diamond Platnumz " Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hal...
01/10/2024

Diamond Platnumz " Miongoni Mwa vitu ambavyo nimejifunza ni Ukomavu wa Kukaa kimya… Ukomavu huu unataka uvumilivu wa hali ya juu, Inataka uwe na moyo wa Subra na hasa kukaza roho pindi mtu au watu wanapokua wanakupakazia ubaya fulani kwenye jamii halaf wewe una Ukweli wake lakini unatakiwa ukae tu kimya Usijibu ilhali ukweli unao ndani…Kwakweli si jambo jepesi linataka Ustahmilivu wa hali ya juu sana, na siwezi sema eti nauweza sana, lakini namshukuru Mwenyez Mungu amenijaalia Hekima hio kwa kiwango chake, na Nimekua nikiishi hivyo kwa Muda mrefu kukaa kimya pindi yoyote akijaribu kusema lolote zidi yangu, na ndio maana ata interview nimekua naepuka kufanya skuizi… japo si jambo jepesi lakini faida yake nimeiona na ni kubwa maana vita vyako inakua unapambaniwa na Mwenyez Mungu na inakufanya Uwe Mshindi kila siku….
Anyways: Najua kila mmoja wenu ana picha tofauti kabisa kuhusu Diamond Platnumz na KUOA, ila tu nataka leo niwaambie kuwa HUYU DIAMOND PLATNUMZ ALISHAWAHI KUOA , na kuna siku nitawaambia ikawaje

Address

Rn1
Bujumbura

Telephone

+255672245500

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bongo Mastory posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Establishment

Send a message to Bongo Mastory:

Share

Category